AFRICAN SONGSLYRICSSONGS & VIDEOSSouth African Gospel Songs

Walter Chilambo – Only You Jesus [Mp3 Download + Lyrics]

Walter Chilambo – Only You Jesus

Song Details: Walter Chilambo – Only You Jesus

Name of Singer:
Song Title: Only You Jesus
Song Category: AFRICAN SONGS, LYRICS, SONGS & VIDEOS, South African Gospel Songs
Downloadable Format: Audio (MP3)
Date Published: 2024

Walter Chilambo has released a brand new track titled “Only You Jesus”. Check out the lyrics, watch the video live performance, and download the mp3 audio below to enjoy !!!

Walter Chilambo is a spirit-filled and graced gospel music soloist gifted for establishing the reign of God’s kingdom here on earth through inspirational gospel songs. Walter Chilambo’s profile would be incomplete without acknowledging the mighty hands and Grace of God upon his life, the same grace at work in this life-giving, spirit-lifting, and career-changing song, Only You Jesus.

Download Mp3/Audio Here

See also  Geoffrey Golden – You Are Holy [Mp3 Download + Lyrics]

Download Now

Only You Jesus Lyrics

Iyee iyeee
Mmmmmhhh
Maisha yangu yanawewe mungu
Tumaini la moyo, kwako mim nimeliweka
Msaada Wa karibu bwana, nitakusifu wewe tu nanitakutuza
Nitapolemewa na mizigo, magonjwa na mateso sina wasiwasi tena
Nipitapo uvuli wa mauti bwana,
Gongo lako na fimbo yako vinanifariji bwana
Umenifanya wa thamani umenitoa matopeni
Umenikung’uta mavumbii ukanibariki
Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri
Niliyekuwa sifai, umenibariki
Only you, only you
Only you, Jesus
Elishadai
Only you
My god
Only Jesus
Ni ww unanitosha
Ni ww unaefaa, my god
Only you
Kila njia ya mtu ni sawa, machoni pake mwenyewe
Bali bwana upima mioyo
Mawazo tuliyonayo nafaham naweza kujiona watakatifu
Ila mbele zake hasara roho ni wadhaifu tu
Jinyenyekeze mbele zake tupate thawabu milele
Kwa kumtumikia yeye tu
Yeye anaponyaa, anaokoa halo halo
Kwangu ni mwaminifu huyu yesu
Nitapolemewa na mizigo magonjwa na mateso sina wasiwasi tena
Nipitapo uvuli wa mauti bwana gongo
Lako na fimbo yako vinanifarijii bwana
Umenifanya wa thaman umenitoa matopeni
Umenikung’uta mavumbi, ukanibariki
Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri
Niliyekuwa sifai, ukanibariki
Iyee
Only you, Jesus
Simba wa yuda
Only you, only you my god
Hakuna kama wewe
Only you, nitang’ang’ana na ww Jesus
Jesus only you, ni wewe pekee yako tu
Eehhh only you baba wa huruma ehh
Jesus mwingi wa rehema ehh
Only you hakuna kama wewe
My god
Mwenye kutoa buree
Unayetupenda, Jesus
Only you, yesu wangu
My god, baba yangu

See also  Mr. M & Revelation – In Your Class [Mp3 Download + Lyrics]

 

For more, Send a message to: hello@songsvine.com

Titus

Songsvine - ad516503a11cd5ca435acc9bb6523536?s=150&d=mm&r=gforcedefault=1

Related Articles

Leave a Reply

You cannot copy content of this page